Lost Boyz | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Queens, New York, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Miaka ya kazi | 1995–1999 |
Studio | Uptown, Universal, Contango |
Wanachama wa sasa | |
Mr. Cheeks Freaky Tah DJ Spigg Nice Pretty Lou |
The Lost Boyz lilikuwa kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini South Jamaica, Queens, New York, Marekani. Kundi lilikuwa likiongozwa na MC Mr. Cheeks, MC mdakiaji na promota Freaky Tah (1971–1999), DJ Spigg Nice, na Pretty Lou. Pia, wao ndiyo waanzilishi wa LB fam kutoka mjini South Jamaica, Queens.