The Prophet: The Best Of The Works | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Greatest hits ya Tupac Shakur | |||||
Imetolewa | 2003 | ||||
Imerekodiwa | 1994-1996 | ||||
Aina | Rap | ||||
Urefu | Kosa la hati: Hakuna moduli kama "Duration". | ||||
Lebo | Death Row | ||||
Wendo wa albamu za Tupac Shakur | |||||
|
The Prophet: The Best Of The Works ni jina la kutaja albamu ya hayati Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2003 kupitia studio ya Death Row Records. Albamu ina nyimbo kadhaa kutoka katika albamu ya All Eyez on Me, The Don Killuminati: The 7 Day Theory na Thug Life: Volume 1.