The Way It Is | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() Kasha ya albamu ya The Way It Is.
|
|||||
Studio album ya Keyshia Cole | |||||
Imetolewa | 21 Juni 2005 | ||||
Imerekodiwa | 2004-2005 | ||||
Aina | R&B, hip hop soul | ||||
Urefu | 48:51 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | A&M, Universal | ||||
Mtayarishaji | Kanye West, Polow da Don, Daron Jones, Chink Santana, Ron Fair,E-Poppi, Kerry "Krucial" Brothers | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Keyshia Cole | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya The Way It Is | |||||
|
The Way It Is ni albamu ya kwanza kuotka kwa mwimbaji Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 21 Juni 2005. Ilikuwa namba 6 kwenye chati ya Billboard 200 na ilikuwa na singles tano: "Never", "I Changed My Mind", "(I Just Want It) To Be Over", "I Should Have Cheated", na "Love". Albamu hii ilipata mauzo ya nakala 89,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[1] Baadaye, ilithibitishwa gold baada ya wiki 17, kisha ikathibitishwa platinum wiki nane baadaye. Albamu hii ilibaki kwenye chati zaidi ya mwaka mzima, na mwishowe ikauza takriban nakala milioni 1.4. Hii ni albamu yake pekee iliyo na muhuri wa parental advisory.