Picha ya Angani ya Uwanja wa Yankee katika Eneo la The Bronx Ramani hii ni New York City. Sehemu ya njano ni eneo la The Bronx
The Bronx ni moja kati ya sehemu za New York City, Marekani. Jina linatokana na Bronck's Farms, ambalo linamilikiwa na mlowezi mmoja aitwaye Jonas Bronck.