Thelathini (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 30 kwa tarakimu za kawaida na XXX kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 29 na kutangulia 31.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 5.
Developed by Nelliwinne