Thelathini na moja

Thelathini na moja ni namba inayoandikwa 31 kwa tarakimu za kawaida na XXXI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 30 na kutangulia 32.

31 ni namba tasa.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne