“Thriller” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Thriller | |||||
B-side | Can't Get Outta The Rain | ||||
Imetolewa | 23 Januari 1984 | ||||
Muundo | 7", 12", CD single | ||||
Imerekodiwa | 1982 | ||||
Aina | Dance-pop, funk | ||||
Urefu | 5:57 (albamu) 5:12 (2003 Single Edit) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Rod Temperton | ||||
Mtayarishaji | Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
| |||||
Sampuli ya Sauti | |||||
[[Image:|180px|center|noicon]][[:Image:|file info]] · help | |||||
"Thriller" ni kibao kilichotamba cha mwaka wa 1984 ambacho kiliimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa Marekani, Michael Jackson. Kibao hicho kilifanyiwa katika studio ya Epic. Nchini Marekani, kilishika nafasi ya nne kwenye chati za Billboard Hot 100 na namba moja kwenye chati za Radio & Records, wakati nchini Uingereza, kilishika nafasi ya kumi. Mnamo tar. 20 Februari 2006, single hii, vilevile video yake, zote zilitolewa tena kwenye albamu ya nyimbo mchanganyiko ya Visionary: The Video Singles. Video ya Thriller ulitazamiwa na MTV[1] kama muziki bora wa video wa "muda wote" (karne), na wenyewe unafikirika kuwa kama ndiyo moja ya alama ya nyimbo za Michael Jackson. Wimbo ulitolewa mapema kabisa nchini Uingereza, mnamo mwezi wa Novemba 1983.