Timu ya taifa (kwa Kiingereza: national sports team, national team au national side) ni kundi la wachezaji wanaowakilisha taifa lao, si klabu wala eneo fulani, katika michezo ya kimataifa.
Developed by Nelliwinne