Tirana

Kitovu cha mji Tirana
Mahali pa Tirana nchini Albania

Tirana (Kialbania: Tiranë au Tirana) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Albania. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa kati ya 350,000 (kadirio rasmi ya mwaka 2003) na milioni moja.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne