Tisini na saba (au saba na tisini) ni namba inayoandikwa 97 kwa tarakimu za kawaida na XCVII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 96 na kutangulia 98.
97 ni namba tasa.
Developed by Nelliwinne