Tola (kwa Kiebrania תּוֹלָע, Tola, Tôlāʻ[1]) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.
Kadiri ya Waamuzi 10:1-2 alikuwa wa kabila la Isakari akaongoza Israeli kwa miaka 23 huko Shamir katika mlima wa Efraimu.
Ndiye mwamuzi ambaye habari zake zimesimuliwa kifupi zaidi.
Waamuzi 12 na wengineo |
---|