Tomasz Grysa (alizaliwa 16 Oktoba 1970) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi, Askofu mkuu, Balozi wa Papa kwa Madagaska, Mauritius, Shelisheli, na Mjumbe wa Kitume wa Visiwa vya Comoro.[1]
Developed by Nelliwinne