Trentino-Alto Adige

Sehemu ya mkoa wa Trentino-Alto Adige
Bendera ya Trentino-Alto Adige.
Bendera ya Trentino-Alto Adige.
Mahali pa Trentino-Alto Adige katika Italia.

Trentino-Alto Adige ni mkoa wa Italia wenye katiba ya pekee. Uko kaskazini kabisa mwa rasi ya Italia, ukipakana na Austria katika milima ya Alps.

Unaundwa na wilaya mbili zenye katiba za pekee. Ile ya kaskazini inatumia zaidi lugha ya Kijerumani.

Mji mkuu wake ni Trento.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne