Trento

Mandhari ya mji.

Trento ni mji wa Italia kaskazini wenye wakazi 117.317 (2016). Ndio makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo, na ya mkoa wa Trentino-Alto Adige.

Ni maarufu hasa kutokana na Mtaguso wa Trento (1545-1563) uliofanyika mjini humo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne