Trieste | |
Majiranukta: 45°38′00″N 13°48′00″E / 45.63333°N 13.80000°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Friuli-Venezia Giulia |
Wilaya | Trieste |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 203,374 |
Tovuti: www.retecivica.trieste.it |
Trieste ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Friuli-Venezia Giulia katika Italia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 205,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 2 juu ya usawa wa bahari.