Tristan Borges

Borges akiwa na Forge FC mwaka 2024

Tristan Daniel Borges (alizaliwa Agosti 26, 1998) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu kutoka Kanada ambaye anachezea klabu ya Forge FC katika Ligi Kuu ya Kanada alicheza kama kiungo.[1][2]

  1. Lee, Kendra (Oktoba 17, 2015). "Get To Know A National Team Player: Tristan Borges". Canadian Soccer News.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Forge FC sells star MF Borges to Belgian team - TSN.ca". TSN. The Canadian Press. Januari 22, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne