Tuzo ya Eric Gregory ni tuzo ya fasihi inayotolewa kila mwaka na jamii ya waandishi nchini Uingereza kwa washairi walio na umri wa chini ya miaka 18.
Tuzo hiyo ilianzishwa mwaka 1960 na Erick Gregory kwa ajili ya kuunga mkono na kuwatia moyo washairi wachanga. [1]
Mwaka 2019 washindi sita walipatikana: James Connor Patterson, Sophie Collins, Mary Jean Chan, Dominic Leonard, Seán Hewitt, na Phoebe Stuckes. Kila shairi lilizawadiwa euro 4,725.[2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)