Tuzo za Muziki za Afrika Kusini (SAMAs) ni taasisi ya kurekodi tuzo za muziki Afrika Kusini iliyoanzishwa 1995.
Kwa kawaida uteuzi hutangazwa mwishoni mwa mwezi Machi. Washindi hupokea tuzo ya dhahabu inayoitwa SAMA.[1]
Developed by Nelliwinne