| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kifaransa: L'union fait la force ; Kiholanzi: Eendracht maakt macht ; Kijerumani: Einigkeit macht stark. (Kiswahili: "Umoja ni nguvu") | |||||
Wimbo wa taifa: La Brabançonne (Wimbo la Brabant) | |||||
Mji mkuu | Brussels | ||||
Mji mkubwa nchini | Brussels | ||||
Lugha rasmi | Kiholanzi, Kifaransa, Kijerumani | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Philippe Saxe-Coburg na Gotha Alexander De Croo | ||||
Uhuru Mapinduzi ya Ubelgiji |
1830 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
30,689 km² (ya 136) 0.71 | ||||
Idadi ya watu - Novemba 2022 kadirio - [[{{{population_census_year}}}|{{{population_census_year}}}]] sensa - Msongamano wa watu |
11,697,557 (ya 82) 11,515,793[1] population_census_year = Novemba 2019 | ||||
Fedha | Euro (EUR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .be | ||||
Kodi ya simu | +32
- |
Ubelgiji (België kwa Kiholanzi, Belgique kwa Kifaransa na Belgien kwa Kijerumani) ni ufalme wa Ulaya ya Magharibi. Ni kati ya nchi 6 zilizoanzisha Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya ambayo baadaye imekuwa Umoja wa Ulaya.
Imepakana na Ufaransa, Uholanzi, Ujerumani na Luxemburg.
Ina pwani kwenye Bahari ya Kaskazini.