| |||||
National motto: Uhuru, Usawa, Undugu (Kifaransa: Liberté, Egalité, Fraternité) | |||||
Lugha rasmi | Kifaransa1 | ||||
Mji mkuu | Paris | ||||
Mji mkubwa | Paris | ||||
Rais: | Emmanuel Macron | ||||
Waziri Mkuu: | Michel Barnier | ||||
Eneo - Jumla2 - Ufaransa bara3 - % maji |
Nafasi ya 42 674,843 km² (260,558 sq. mi.) Nafasi ya 47 551,695 km²4 (213,011 sq. mi.) 543,965 km²5 (210,026 sq. mi.) 0.26% | ||||
Wakazi (1 Januari 2023) - Total2 - Ufaransa bara3 - Density3 |
Nafasi ya 20 68,042,591 65,834,837 116/km² | ||||
GDP (PPP) - Jumla (2003) - GDP/mtu |
Nafasi ya 5 $1.661 Trillioni $27,600 | ||||
Pesa | Euro (€)6, CFP Franc7 | ||||
Kanda ya wakati - in summer |
CET (UTC+1)3 CEST (UTC+2)3 | ||||
Wimbo wa taifa | La Marseillaise | ||||
Internet TLD | .fr | ||||
Calling Code | 33 | ||||
1 Taz. #Demografia kwa lugha za kimkoa | |||||
Ufaransa ni nchi ya Ulaya na mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Ulaya.
Eneo lake ni km² 674,843; na idadi ya wakazi ni 63,044,000.
Imepakana na Ubelgiji, Luxemburg, Ujerumani, Uswisi, Italia, Monako, Andorra na Hispania.
Ufaransa ulikuwa kati ya nchi zenye makoloni mengi ikasambaza lugha yake kote duniani na kutunza uhusiano wa pekee na nchi nyingine zinazotumia Kifaransa.