Uhuru Kenyatta | |
Uhuru Kenyatta, 2020 | |
Muda wa Utawala 9 Aprili 2013 – 13 Septemba 2022 | |
Deputy | William Ruto |
---|---|
mtangulizi | Mwai Kibaki |
aliyemfuata | William Ruto |
Makamu wa Waziri Mkuu wa Kenya
| |
Muda wa Utawala 13 Aprili 2008 – 9 Aprili 2013 Serving with Musalia Mudavadi | |
Rais | Mwai Kibaki |
Waziri wa Fedha
| |
Muda wa Utawala 23 Januari 2009 – 26 Januari 2012 | |
Waziri Mkuu | Raila Odinga |
mtangulizi | John Michuki |
aliyemfuata | Robinson Michael Githae |
Waziri wa Biashara
| |
Muda wa Utawala 13 Aprili 2008 – 23 Januari 2009 | |
Waziri Mkuu | Raila Odinga |
mtangulizi | Mukhisa Kituyi |
aliyemfuata | Amos Kimunya |
Waziri wa Serikali ya Mtaa
| |
Muda wa Utawala 8 Januari 2008 – 13 Aprili 2008 | |
Rais | Mwai Kibaki |
mtangulizi | Musikari Kombo |
aliyemfuata | Musalia Mudavadi |
Kiongozi wa Upinzani
| |
Muda wa Utawala 1 Januari 2003 – 30 Desemba 2007 | |
mtangulizi | Mwai Kibaki |
aliyemfuata | Raila Odinga |
Muda wa Utawala 9 Januari 2003 – 28 Machi 2013 | |
mtangulizi | Moses Mwihia |
aliyemfuata | Jossy Ngugi |
tarehe ya kuzaliwa | 26 Oktoba 1961 Nairobi, Kenya Colony |
jina ya kuzaliwa | Uhuru Muigai Kenyatta |
chama | Kenya African National Union (–2012) National Alliance Party of Kenya (2012–2016) Jubilee (2016–) |
chamakingine | Jubilee (2013–2016) |
ndoa | Margaret Gakuo (m. 1991–present) |
watoto | Jomo Kenyatta, Ngina Kenyatta, Jaba Kenyatta |
signature |
Uhuru Muigai Kenyatta (amezaliwa 26 Oktoba 1961) ni mwanasiasa nchini Kenya ambaye amekuwa rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya kuanzia tarehe 9 Aprili 2013 mpaka tarehe 13 Septemba 2022.
Uhuru alihudumu kama mbunge wa Gatundu Kusini kuanzia mwaka wa 2002 hadi 2013. Pia alihudumu kama naibu waziri mkuu kuanzia 2007 hadi 2013.
Uhuru alihusika na chama cha Kenya Africa National Union (KANU) hapo awali kabla ya kubuni chama cha The National Alliance (TNA). Chama hicho kiliungana na kile cha United Republican Party (URP) kikiongozwa na William Samoei Ruto ili kubuni chama cha Jubilee, kilichompa Uhuru kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa 2013, naye William Ruto akichaguliwa kama naibu rais.