North West England | |
![]() |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Sehemu | ![]() |
Mji mkuu | Manchester |
Eneo | |
- Jumla | 14,165 km² |
Idadi ya wakazi (2006) | |
- Wakazi kwa ujumla | 6,853,200 |
Tovuti: http://www.4nw.org.uk/ |
Uingereza Kaskazini-Magharibi (Kiing.: North West England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,853,200. Mji wake mkuu ni Manchester.