Uislamu nchini Mali ndiyo dini inayoongoza. Waislamu kwa sasa wanakadiriwa kuwa asilimia 90 ya jumla ya wakazi wote wa nchini Mali.
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Mali ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya ImamuMaliki, wenye athira ya Usufii.[1]Matawi ya Ahmadiyya na Shia nayo yapo.[2]
↑"The World's Muslims: Unity and Diversity"(PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)