Uislamu nchini Sierra Leone

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Sierra Leone umekadiriwa kuwa na wafuasi wapatao 4,059,000 ambao wameripotiwa kuwa Waislamu nchini humo hasa kwa mujibu wa sensa waliofanya mnamo mwaka wa 2009. Hili linapendekeza ya kwamba asilimia 71.3 ya jumla ya wakazi wote nchini humo kuwa ni Waislamu.[1]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-05-19. Iliwekwa mnamo 2016-06-25.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne