Uislamu nchini Cape Verde ni dini ndogo yenye jumuia hafifu lakini zinakua kwa kasi.[1]Waislamu wengi nchini hapa ni wahamiaji kutoka Senegal na nchi nyingine za jirani, na hujishughulisha na biashara ndogondogo na kuuza urembo.
Developed by Nelliwinne