Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Guinea-Bissau ni moja kati ya dini kubwa nchini humo, imekadiriwa kufikia asilimia 50[1] za wakazi wake ambapo kwa harakaharaka ni kama milioni 1.4 ya raia wa huko ni wafuasi wa dini ya Kiislamu.
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Bissau ni dhehebu la Sunni wanaofuata mafunzo ya Maliki, yenye athira ya Usufi. Imekadiriwa asilimia 6 kuwa ni Shia na asilimia 2 ni Ahmadiyya nao pia wamo.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)