Uislamu nchini Libya

Uislamu kwa nchi
Msikiti wa Mawlai Muhammad mjini Tripoli.

Uislamu nchini Libya ndio dini inayongoza kwa wingi wa wafuasi.

Sehemu kubwa ya waumini wa Libya ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni, ambapo hutoa mafunzo ya kidini na mwongozo wa sera za utawala wa nchi na serikali kwa ujumla. Ni vigumu kubagusha dhana hii kwani hata kwa wale ambao hawakuamini Uislamu kikamilifu nao wamekuwa wafuasi wa utaratibu huu nchini humo.

Libya, wameweka vipaumbele juu ya thamani ya Uislamu na mafunzo yake, yaani, kuanzia utamaduni, mafunzo ya Qurani kwa kiwango cha juu mno, kiasi kwamba nchi hufuata miongozo ya sharia za Kiislamu.

Libya ina sehemu ndogo sana ya wafuasi wa Ahmadiyya na Shia hasa inahusisha wahamiaji kutoka Pakistani, kupitia majimbo yasiyojulikana nchini nzima.[1]

  1. "Pakistani Ahmedis Held". Januari 16, 2013. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne