Uislamu nchini Mauritania

Vijana wanachukua mafunzo ya Qurani nchini Mauritania
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Mauritania ndiyo dini inayoongoza. Kwa ujumla watu wa Mauritania wote ni Waislamu wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Maliki.

Tangu uhuru mnamo 1960, Mauritania imekuwa jamhuri ya Kiislamu.

Toleo la Katiba la 1985 linataja kuwa ni nchi ya Kiislamu na wanafuata sharia za Kiislamu katika kuongoza serikali.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne