Ukatili

Michoro ya zamani ikionyesha aina mbalimbali za ukatili kwa watumwa huko Aljeria.

Ukatili (kutoka neno la Kiarabu) ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine, ilihali suluhisho la wazi linapatikana kwa urahisi.[1]

Ukatili unaweza kutokana na matatizo ya kisaikolojia yenye mizizi utotoni, lakini pia ni tabia ambayo mtu anaweza kujijengea kinyume cha maadili.

Ukatili unaweza kujitokeza hata katika namna ya kufanya ngono.

  1. https://www.merriam-webster.com/dictionary/cruel

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne