Ukristo nchi kwa nchi

Asilimia ya Wakristo katika nchi zote duniani.


Katika robo ya kwanza karne ya 21 Ukristo ndio dini kubwa zaidi duniani, ukikadiriwa kuwa na waumini walau bilioni 2.4 kati ya watu bilioni 7.5 duniani, ambao ni sawa na 1/3.[1][2][3][4][5]

Kati ya madhehebu yake, Kanisa Katoliki linaongoza kwa kuwa na waumini bilioni 1.3,[6] likifuatwa na Uprotestanti (uliogawanyika sana), Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na wengineo.

Nchi inayoongoza kwa idadi ya Wakristo ni Marekani, ikifuatwa na Brazil na Mexico.

Ukristo, katika madhehebu yake mojawapo, ni dini rasmi ya nchi 15: Argentina (Kanisa Katoliki),[7] Bolivia (Kanisa Katoliki na Ukristo kwa jumla),[8] Costa Rica (Kanisa Katoliki),[9] Denmark (Walutheri),[10] El Salvador (Kanisa Katoliki),[11] England (Anglikana),[12] Greece (Waorthodoksi), Armenia(Kanisa la Kitume la Armenia), Georgia (Waorthodoksi),[13][14]Ethiopia (Waorthodoksi wa Mashariki)[15][16] Iceland (Walutheri),[17] Liechtenstein (Kanisa Katoliki),[18] Malta (Kanisa Katoliki),[19] Monaco (Kanisa Katoliki),[20] Norway (Walutheri),[21] Vatican City (Kanisa Katoliki).[22]

  1. "World". CIA world facts. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-05. Iliwekwa mnamo 2014-04-19. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  2. "The List: The World's Fastest-Growing Religions". foreignpolicy.com. Machi 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-04.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Major Religions Ranked by Size". Adherents.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-06-22. Iliwekwa mnamo 2009-05-05. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  4. "Global Christianity" (PDF). Pew Research Center. Desemba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-07-23. Iliwekwa mnamo 2012-07-30. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Hinnells, The Routledge Companion to the Study of Religion, p. 441.
  6. "Presentation of the Pontifical Yearbook 2019 and the Annuarium Statisticum Ecclesiae 2017". Holy See Press Office. 6 March 2019. Archived from the original on 7 March 2019. Retrieved 6 March 2019
  7. "Argentina". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  8. "Bolivia". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  9. "Costa Rica". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  10. "Denmark". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  11. "El Salvador". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  12. "Church and State in Britain: The Church of privilege". Centre for Citizenship. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-05-11. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  13. The Church Triumphant: A History of Christianity Up to 1300, E. Glenn Hinson, p 223
  14. Georgian Reader, George Hewitt, p. xii
  15. Ethiopia, the Unknown Land: A Cultural and Historical Guide, by Stuart Munro-Hay, p. 234
  16. Prayers from the East: Traditions of Eastern Christianity, Richard Marsh, p. 3
  17. "Iceland". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  18. "Liechtenstein". U.S. Department of State. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  19. "Malta". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  20. "Monaco". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  21. "Norway". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.
  22. "Vatican". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-05-11.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne