Ukuaji (kwa Kiingereza "growth") ni mchakato wa kuongezeka au kuonyesha mabadiliko katika maumbile au mwonekano ule uliokuwepo awali.
Ukuaji unajumuisha mambo yafuatayo:
(a) Mabadiliko katika tabia
(b) Mabadiliko katika sifa
Ukuaji mara nyingi au moja kwa moja hutokea kwa Viumbe hai. Viumbe hai ndio wenye uwezo wa kuonyesha mabadiliko katika tabia na sifa zao kijumla.
Kwa mfano wao, hata miundo inaweza kusemwa kuwa inakua.