Ukubwa (kwa Kiingereza: "size") ni hali ya mwonekano wa kitu au vitu ambapo huenda ikawa ni mwonekano wake katika umbo, urefu, upana, kipenyo, mzunguko, eneo, kiasi, au molekuli.
Ukubwa hupimwa kwa vifaa mbalimbali vikiwa ni pamoja na rula, mizani na vipimo vingine.