Ukweli

Ukweli ndio nini?: ndilo swali ambalo Yesu aliulizwa na Pilato wakati wa kuhukumiwa naye. Mchoro wa Nikolai Ge.

Ukweli ni uhalisia wa mambo, yaani jinsi kitu, hali au mahali kulivyo bila ya kuongeza yasiyokuwa. Ndilo lengo la akili katika kujua mambo yote kwa dhati iwezekanayo. pia ukweli ni

Unaweza kujulikana kuanzia hisi kwa kufikiria, lakini pia kwa kushika imani ya dini fulani inayosadikiwa imefunuliwa na Mungu.

Wazo hilo ni la msingi hasa katika Ukristo, na kwa namna ya pekee katika Injili ya Yohane.

Bibi Ukweli, akiwa ameshikilia kioo na nyoka. Mchoro wa Olin Levi Warner (1896), maktaba ya Congress Jengo la Thomas Jefferson, jijini Washington, D.C..

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne