Ultramagnetic MCs | |
---|---|
![]() Ultramagnetic MCs (Kool Keith na Ced-Gee pichani) wakitumbuiza katika tamasha la All Tomorrow's Parties huko Asbury Park, mjini New Jersey, Septemba 2011 | |
Taarifa za awali | |
Amezaliwa | The Bronx, New York City, U.S. |
Miaka ya kazi |
|
Studio | Diamond International (1984–1986), Next Plateau (1986–1991), Mercury]]/PolyGram Records (1991–1992), Wild Pitch/EMI Records (1993–1994), Tuff City (1994–?), Oxygen Music Works (2001-?), DMAFT (2006–?), Black Pegasus (2010-?),Red Apples 45 (2012-?), Ruffnation Entertainment (2023–?), Anti-Corp (2023-present) |
Ameshirikiana na | Kool Keith Ced-Gee TR Love Moe Love Jaycee |
Ultramagnetic MCs ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Bronx, New York City.[1] Kundi hili lilianzishwa na Kool Keith na linajumuisha pia Ced Gee, TR Love, na Moe Love.[2] Tim Dog alijiunga kama mshiriki wa muda mnamo 1989. Mwaka 1990, DJ Jaycee aliongezwa kama meneja wa safari na DJ wa akiba. Mwanachama wa zamani, Rooney Roon, alifutwa baada ya kukamatwa kwa tuhuma za shambulio. Beat-boxer Rahzel alikuwa sehemu ya kundi hili kama mfanyakazi wa safari mwanzoni enzi hizo wanaanza.[3] Kazi ya kundi hili inahusishwa na matumizi yasiyo ya kawaida ya sampuli, mistari yenye silabi nyingi, na taswira za ajabu katika mashairi yao. Kundi hili huwekwa katika jamii moja ya Kizazi cha dhahabu cha hip hop.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)