Umbria

Sehemu ya mkoa wa
Bendera ya Umbria.
Bendera ya Umbria.
Mahali pa Umbria katika Italia.

Umbria ni mkoa wa Italia. Uko katikati ya rasi ya Italia na hauna pwani katika bahari yoyote.

Mji mkuu wake ni Perugia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne