Ushirika wa Usafiri wa Hamburg HVV

Ramani ya mtandao wa njia za metro na reli ya mjini Hamburg (U-Bahn, S-Bahn, A-Bahn na treni za mkoa
Ramani ya vivuko vya HADAG kwenye njia za maji

Ushirika wa Usafiri wa Hamburg (kwa Kijerumani Hamburger Verkehrsverbund; kifupi: HVV) ni kampuni ya umma inayoendesha usafiri wa umma katika jiji la Hamburg na maeneo ya karibu katika majimbo ya Niedersachsen na Schleswig-Holstein.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne