Usimbaji fiche

Mchoro wa usimbaji fiche wa ujumbe "Hello".

Katika utarakilishi, usimbaji fiche (kwa Kiingereza: encryption) ni mchakato wa kubadilisha habari ili iwe ujumbe wa siri.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne