Utakaso

Utakaso (kutoka kitenzi chenye asili ya Kiarabu kutakata; kwa Kiingereza: purification) ni mchakato wa kufanya mtu au kitu kuwa safi, bila mambo ya kigeni na/au uchafuzi, na unaweza kurejelea mambo mbalimbali, hasa upande wa dini.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne