Utomvu wa mpira ukikusanywa mtini
Kukusanya utomvu wa mnazi
Utomvu ni kiowevu kinachopitishwa katika seli za mimea. Unasafirisha maji na lishe ndani ya mmea[1].
Kutokana na aina mbili tofauti za seli za mimea, yaani zilemu na floemu, kuna aina mbili za utomvu wa zilemu na utomvu wa floemu[2].
- ↑ Sap (plant physiology), tovuti ya Encyclopedia Britannica online
- ↑ PLANTS AND THEIR STRUCTURE Ilihifadhiwa 22 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine., On-Line Biology Book, 2001