| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kituruki: Yurtta Sulh, Cihanda Sulh ("Amani nyumbani, amani duniani") | |||||
Wimbo wa taifa: İstiklal Marşı | |||||
Mji mkuu | Ankara | ||||
Mji mkubwa nchini | Istanbul | ||||
Lugha rasmi | Kituruki | ||||
Serikali | Jamhuri Recep Tayyip Erdoğan | ||||
Kuundwa kwa nchi ya kisasa Kuundwa kwa bunge Mwanzo wa vita ya uhuru Ushindi Kutangaza Jamhuri |
23 Aprili 1920 19 Mei 1919 30 Agosti 1922 29 Oktoba 1923 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
783,562 km² (ya 37) 1.3 | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2014 sensa - Msongamano wa watu |
{{{population_estimate}}} (ya 18 1) 77,695,904 101/km² (ya 107 1) | ||||
Fedha | Lira Mpya2 (TRY )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) CEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .tr | ||||
Kodi ya simu | +90
- |
Uturuki (Jamhuri ya Uturuki; kwa Kituruki: Türkiye Cumhuriyeti) ni nchi ya kimabara kati ya Asia na Ulaya.
Sehemu kubwa iko Asia ya magharibi lakini sehemu ndogo ya eneo lake upande wa magharibi wa Bosporus iko Ulaya.