Uwanja wa Michezo wa ABB Arena Syd ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uswidi. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Västerås. Uwanja huo hutumiwa na timu ya Västerås SK Bandy, Tillberga IK Bandy na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 9,000.[1][2][3]
↑Karlsson, Samuel (Mei 16, 2023). "Här vill politikerna bygga nya Scandinavium" [Here is where politicians want to build the new Scandinavium]. Byggvärlden (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo Mei 21, 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)