Uwanja wa Michezo wa Belmore ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sydney Olympic na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,000.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)