Uwanja wa Michezo wa Campbelltown

Uwanja wa Michezo wa Campbelltown ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Sydney nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Australia women's national soccer team, Macarthur FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,500.[1]

  1. "Campbelltown Stadium". Austadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Septemba 2022. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne