Uwanja wa Michezo wa City Football Academy

Uwanja wa Michezo wa City Football Academy ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Melbourne City FC (A-League Women) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 1,500.[1]

  1. "City Football Academy | Austadiums".

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne