Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby

Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby

Uwanja wa Michezo wa Hanazono Rugby ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1929 kwenye mji wa Higashiosaka, Osaka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kintetsu Liners, FC Osaka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,346.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne