Uwanja wa Michezo wa Komazawa Olympic Park

Uwanja wa Michezo wa Komazawa Olympic Park

Uwanja wa Michezo wa Komazawa Olympic Park ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1964 kwenye mji wa Setagaya, Tokyo nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya FC Tokyo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,010.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne