Uwanja wa Michezo wa Parque Osvaldo Roberto

Uwanja wa Michezo wa Parque Osvaldo Roberto ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 1941 kwenye mji wa Montevideo nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Racing Club de Montevideo na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 8,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne