Uwanja wa Michezo wa State Centre for Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Adelaide nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Adelaide Comets FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,000.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)