Uwanja wa Michezo wa Sylhet International Cricket

Uwanja wa Michezo wa Sylhet International Cricket ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Bangladesh. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Sylhet nchini Bangladesh. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kriketi, mpira wa miguu na mengine na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 18,500.[1]

  1. Established in the year 2007, bdcricteam.com, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04, iliwekwa mnamo 2025-02-05 Retrieved on 23 June 2013.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne