Uwanja wa Michezo wa Tegera Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uswidi. Ulizinduliwa mnamo mwaka 2005 kwenye mji wa Leksand nchini Uswidi. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Leksands IF na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 7,650.[1][2][3]
↑Karlsson, Samuel (Mei 16, 2023). "Här vill politikerna bygga nya Scandinavium" [Here is where politicians want to build the new Scandinavium]. Byggvärlden (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo Mei 21, 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)